FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Mayele kamburuza beki wa Rivers, kavutwa nje kidogo ya 18...ni freekick Yanga wanapata

Unapigwa muwa na Ki, kipa anapangua...
 
Aliyesema kombe la luza alikuwa sahihi kwa kiasi fulani. Tofauti kubwa sana na CAFCL, goli 3 za huku ni sawa na off target ya CAFCL
 
Freekick kwenda Yanga...

Mpira unaokolewa....
 
Malumo inashika mkia kwnye ligi kuu ya PSL
Chelsea alichukua UEFA chini ya Di Mateo wakati kwenye ligi wakiwa nafasi mbaya kuwahi kutokea katika miaka ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…