Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
Yanga tukifuzu tunakutana na marumo
Marumo kamfunga PYRAMID 1 bira AGG 2-1
Asec kafuzu kamtwanga US MONASTR
Marumo kamfunga PYRAMID 1 bira AGG 2-1
Asec kafuzu kamtwanga US MONASTR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi wanayo Yanga,jamaa kama Mamelodi.Yanga vs Malumo Gallant semi final
Kaja kuona timu yake alio pigania kwa damu na jasho ikifuzu kwenda fainaliManji yuko uwanjani
ndio level za shirikishoHawa Rivers mbona wanajiangusha sana
Au unaenda kukaa vichochoroni kusudi mtuibie (joke)Mpira ushaisha huu. Ngoja nikafanye mengine ntasoma updates.
kwa Yanga hii ya Rivers au itasajili wengine?Bonge la mechi yaani
Ya wapi hii!??Yanga vs Malumo Gallant semi final
Hivi nyie mnaichukuliaje YangaKazi wanayo Yanga,jamaa kama Mamelodi.
Pyramid imeisha haina kitu,Malumo ame deserve kabisaaa kapiga mpira mkubwa sn
Malumo inashika mkia kwnye ligi kuu ya PSLKazi wanayo Yanga,jamaa kama Mamelodi.
Pyramid imeisha haina kitu,Malumo ame deserve kabisaaa kapiga mpira mkubwa sn
Sio kuichukulia, tunaiona inavyocheza sasa hiviHivi nyie mnaichukuliaje Yanga
Haya maandishi siamini kama yanatoka kwako au umedukuliwaAliyesema kombe la luza alikuwa sahihi kwa kiasi fulani. Tofauti kubwa sana na CAFCL, goli 3 za huku ni sawa na off target ya CAFCL
Hapana mkuu. Nimeona nifanye jambo jingine tofauti na kutazama huo mpira sababu hauna burudani.Au unaenda kukaa vichochoroni kusudi mtuibie (joke)
Ndio level ya timu za shirikishoMalumo inashika mkia kwnye ligi kuu ya PSL
Chelsea alichukua UEFA chini ya Di Mateo wakati kwenye ligi wakiwa nafasi mbaya kuwahi kutokea katika miaka ile.Malumo inashika mkia kwnye ligi kuu ya PSL