Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Huyo hajameza dawa so kichwa kinapata motoSijaona ubaya wa kuanzisha thread mapema
Kaangalie uzi wa Greatest Of All Time wa mechi ya Wydad vs Simba ulianzishwa saa ngapi afu rudi hapa
Nawewe ni dokta?? [emoji706][emoji706][emoji706]Niseme tu wazi nakemea na inaudhi sana mechi ya SAA moja usiku mtu anaanzisha thread mid night, huu ni ujinga kusema ukweli.
Maxence Melo lipokee hili na lifanyiwe kazi ikiwezekana game Kubwa thread ya Live iwe ni jukumu la moderator na thread ya porojo kama hii iachwe kwa ajili ya porojo za mashabiki.
Maana thread ya hivi muda wa mechi ukifika unakuta page kibao hujui uanzie wapi.
Hii tabia inaota mizizi kwenye hili jukwaa ni vizuri ikatafutiwa ufumbuzi, mpaka mtu anaweza kudhani kuna malipo yanatolewa kwa atakayewahi kufunguwa thread ya mechi, huu ni ujinga.
Vibaka FCnasikia mmetuma wahuni wakapulizie sumu kwenye gari la rivers halafu mmewaibia hela zao za matumizi
Uyo ni shabiki wa Simba[emoji23][emoji23]Nimezoom hiyo Avatar nikabakia nacheka tu Mkuu.
Inamaanisha nini kwani? [emoji23]
AahaaaaaHuyo hajameza dawa so kichwa kinapata moto
😂😂😂 kapasuliwa hasa. 😂😂Uyo ni shabiki wa Simba[emoji23][emoji23]
Yaani we acha tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kapasuliwa hasa. [emoji23][emoji23]
Mtani umesahau neno kuweka neno WaKimataifa. Teh teh.Utopolo leo wana kazi nyepesi ya kumsukuma mlevi kwenye mteremko....
Kila laheri madimbwini fc...hii masika ni yenu....🐸 🐸 🐸
Unateseka sana kuona YANGA inasonga mbele kwa mafanikio.YA JWANENG DHIDI YA SIMBA NAYAONA LEO. 3 VS 3
Walikuwa wanaleta maringo sana kama vile watabeba kombe kumbe mwisho wao ni pale pale kwa kipindi chote. Wakae kwa kutulia sasa washabikie timu pinzani au waugulie kimya kimyaKama timu yako haipo kimataifa usikanyage hapaView attachment 2604235
Ahsante kwa tahadhari ila unaumia ukiwa wapi?Msijiamini sana maana mnaweza kufanywa kama simba dhidi ya wale Wabotswana
Mechi yenu mnacheza lini tena katika hayo mashindano?Vitimu dhaifu vimejazana huko mnashangilia kama watoto, hamuwezi kujilinganisha na Simba Sc aliekwenda kwa bingwa mtetezi wa kombe la wakubwa akaondolewa kwa penalti, msijitoe akili kama watoto wadogo..
Nawasubiri kwenye final ya ASFC niwakande tena nyie watoto watamu sana[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]