FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Ila hii Yanga iliyojichokea tunaisubiri FA tukajipigie, safari hii si chini ya mkono unawahusu. Denis Kibu Mkandaji anawasubiri.
 



Timu zilizofuzu hizi hapa.Hiyo game ya mwisho Alger ana aggregate ya 2 ila leo moto utawaka huko.Mechi saa nne
 
Timu yetu ya wananchi Yanga huu mwaka wa tatu tupo na profeseri Nabi lakini hatujawahi kuingia makundi ya Cuf championship daaahπŸ˜₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…