Tulikuwa tushamaliza shughuli,gemu ya Leo ilikuwa kujifurahishaIla itabidi wajitahidi sana kwa Game zinazofuata.
Kwa uchezaji ule, bado wanapaswa kuchangamka kidogo
Na Marumo amesema anatutakaYanga atapangiwa hao Marumo.
Rafiki mbona sikuoni kwnye jukwaa hapaMtani Mtani Mtani nimekuita mara 3 ebu ukuje hapa nitete nawe kidogo
Ndiyo tumeona,Yanga ndo nembo ya taifa Kwa sasaJe mmeona tofauti ya Champions League na Confederation bonanza?
Ahaaaa uongoo huoo huo uongooooTulikuwa tushamaliza shughuli,gemu ya Leo ilikuwa kujifurahisha
Sio wagumu kama Pyramids.Na Marumo amesema anatutaka
AahaaaaaaSio wagumu kama Pyramids.
Yanga wanahitaji juhudi zaidi.
Ila Ubora wakina Bangala, Djuma na Lomalisa umejidhihirisha leo.
Babeki washambuliaji.
Wange....Ahaaaa uongoo huoo huo uongoooo
Sema li timu la rivers ni libovuu mnoooo
Kwa uchezaji wenu wa leo wangeweza kuwapiga hata 4 ila ni mibovuu
Mechi haina vionjo vya kimataifa, angalia mechi za Ijumaa na Jumamosi ukiangalia na hii.N
Ndiyo tumeona,Yanga ndo nembo ya taifa Kwa sasa
Mtapata tabu saaana. Nasikia leo Profesa Nabi alikuwa anatumia formation ya 3~2¿3&1%1 ndiyo maana mpira ulikuwa haueleweki.Naona unahamisha magoli
vipi Rivers nae kafa kiume kama nyie?Wajinga wengi lazima wawe na upeo huo
Kuwa mzalendo,ebu mfute kamasiMakolo wana lilia nini kuna mmoja nme kutana nae hapa ana lia adi kamasi
Uwezekano wa Yanga kwenda Final ni mkubwa sana.Aahaaaaaa
Sawa mkuu
Akikujibu ntagvipi Rivers nae kafa kiume kama nyie?