mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
- Thread starter
- #481
Ndio mkuuMechi Bado Imesimama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuuMechi Bado Imesimama?
Sema mbele ya wananchi si waziri mkuu. Waziri mkuu ndiye anatakiwa kuhakikisha haya mambo hayatokei.Huu uduanzi uliotokea siyo wa kukalia kimya hii ni mara ya pili ya kwanza mbele ya waziri mkuu wa nchi ni bonge la aibu wakuu.
HapanaBasi nami nilipo i-test nikaona ina load mda mrefu nikajua ni mtandao uko down
Nawataka sana hawa malumo niwagonge nje ndanAsec mimosas anaongoza 1-0, Malumo Gallant pia anaongoza 1-0, mechi zote ni mapumziko
Halafu tunaomba kuandaa AFCON 2027,Hizo ni BangiWatanzania huwa hatuna huo muda wa kujifunza...
Sisi mambo yetu huenda kwa kudra za Mwenyezi Mungu...
Sasa kama wanachukua milioni 47 za Simba afu wanaenda kula badala ya kurekebisha vyoo, taaUwanja hata miaka 20 bado ushachoka
itakuwa umekuja mjini juzi mechi ya simba umeme ujawah zimaIla hao mbumbumbu hawajawahi kuzima uwanja kishirikina
Ndio mkuu
Umeanza sasahiviKwa Zaidi Ya Dakika 20?
hana huo uwezoKipindi kile Magu Upuuzi haukuwa unatokea..
Mama embu na Wewe Kohoa kidogo tu ama Sivyo Watakupanda Kichwani..!
Simba alicheza fainali ya CAF cup na wala haikuwa kombe la shirikisho.Simba iliingia fainali ya kombe la shirikisho mwaka 1993, iweje useme kwa mara ya kwanza?