Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MbuziMshindi wa Afcon ya Mbagala atazawadiwa nini?
dah
Simba haina mafanikio yoyote kimataifaUmekomalia na hicho ki screenshot chako inaenda wiki sasa.
Unatumia nguvu kubwa sana kufifisha mafanikio ya Simba kwa references za kuunga unga.
Ndondo Cup, Mdhamini Dr MwakaLeo wamekutana Abdallah na Dulla mpira haueleweki
Kwasababu wewe umesema?Simba haina mafanikio yoyote kimataifa
Hii mechi imemzidi nguvu. Kipindi cha pili bila shaka kocha atampumzisha, na nafasi yake kuchukuliwa na wachezaji wenye uzoefu zaidi.Mzize vipi mbona anaikosesha ushindi yanga
Sema ukweli ?...😂😂Leo wamekutana Abdallah na Dulla mpira haueleweki
Na kashapoteza two clear chances yeye na golikipamzize anatoa pasi kwa adui hahahah
Aliwafungaje Asec mimosa na Widad ambae amekutoa wewe janaHawa Rivers nilisema toka gemu ya kwanza wangekuwa na mshambuliaji wa kati wa maana pale mbele, Yanga asingemfunga hata gemu 1. Kiuwezo haina tofauti sana na Yanga.
[emoji16][emoji16] hili pira Makande la Uto nimelikubaliNdondo Cup, Mdhamini Dr Mwaka
Imechaguliwa kucheza Super League, mkwanja wake usipimeSimba haina mafanikio yoyote kimataifa