FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Hawa Rivers nilisema toka gemu ya kwanza wangekuwa na mshambuliaji wa kati wa maana pale mbele, Yanga asingemfunga hata gemu 1. Kiuwezo haina tofauti sana na Yanga.
Aliwafungaje Asec mimosa na Widad ambae amekutoa wewe jana
 
Yanga wapo sloppy kinoma...

Wachezaji wanachelewa sana ku react
 
Back
Top Bottom