Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo uwezo wenu huoHichi mnachokiona hapa ni nini? Hii timu yetu Leo imelogwa??
Kimataifa ndo wapi hapo Uwanja wa Banjamini?Kama timu yako haipo kimataifa[emoji850][emoji850]
Kimataifa inayojulikana CAF ni Champions League na Super League, mashindano mengine ni vifungashioKuna mashabiki wanakomenti hapa timu zao hazipo kimataifa.
Iheshimuni Yanga Tafadhali [emoji39]
Sibishani na wa matopeni[emoji706][emoji706]Ndo uwezo wenu huo
Bana map.mbu timu ipate goli, Mie vile sina tu, ningeyabana Hadi yangekuwa mekundu🤣🤣🤣🤣Hichi mnachokiona hapa ni nini? Hii timu yetu Leo imelogwa??
Hichi mnachokiona hapa ni nini? Hii timu yetu Leo imelogwa??
Nyie kachezeni na majimaji huko, kimataifa sio size yenu[emoji706][emoji706]Kimataifa ndo wapi hapo Uwanja wa Banjamini?
Nyie nao mtajiita wa kimataifa kweli?.
Chezaji la million 400 refa kaliambia lishushe bukta liache kukaa uchiGarasa jingine linaitwa Aziz Kii ,ni hovyo kabisa
Yanga hii au nyingine?Yaan huko SOUTH sasa hivi matumbo juto wakiifikilia YANGA akili haziwakai sawa