FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

Bora abaki Yanga,timu zetu hizi za Simba na Yanga zinabebwa na wageni, wazawa bado sana na ukizingatia hatuna msingi mzuri wa soka la vijana lazima kila kocha atapata tabu.
MKUU TUNZA HII:

Nabi ndie kocha wa baadae wa taifa stars so anaanza kuiandaa timu yake mapema!!
 
Leo Nabi kazingua sana, timu ipo nyumban inatafuta ushindi halafu inacheza na Mshambuliaji mmoja?
 
Back
Top Bottom