Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku kwema kabisa, tunamshukuru MunguHuku salama kabisa! Sijui huko kwetu Sumbawanga.
Tupongeze vizuri mtani [emoji2][emoji2][emoji2]Samalekoo wana Yang'a popote pale mlipoooo..nasema hiviii hongereni kwa kuvuka kwny group dhaifu mnooo...bila goli 10 any way......
See u at the top
Club Bingwaaa
OKW BOBAN SUNZU anasemaje!?Hongereni Yanga kwa kufuzu hatua ya nusu fainali kombe la shirikisho Afrika, kwa mara kwanza katika historia yenu.
Ona hii kijana ya Moo imepoteza network! Yanga inaanzaje kutembelea nyota ya timu kama simba!Kusafiria nyota ya Simba Sc hakuwezi kuwafikisha popote
Roho mbaya haijengiBonanza ngapingapi huko?
AahhaahaaOna hii kijana ya Moo imepoteza network! Yanga inaanzaje kutembelea nyota ya timu kama simba!
Hongera kipenzi ila wewe tuu...Tupongeze vizuri mtani [emoji2][emoji2][emoji2]
Sema kama Wydad Casablanca.
Mlishindwa nini na nyie kutoa bahasha Kwa WydadHongereni Vibaka FC, kule Nigeria mliwafunga kwa Bahasha tu, hamna mpira wa maana mlionao. Mnaenda kuaibika kwa watoto wa wanaoshuka Daraja kule South.