dogo alijua yeye ndo tegemeo, kajikuta hakuna anaye muwazia tena timu inashinda bila yeyehuyu hata kama atataka kurudi ataogopa sababu ya aibu
Iwafundishe pia kupaisha penatiYanga iwafundishe Simba jinsi ya kutumia uwanja wa nyumbani ili yale mambo ya kupigwa 3-0 nyumbani yasije kujirudia tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simba alishaipiga Yanga 5-0Kama timu yako haijawahi kufunga goli 2 kwenye mechi moja paka sasa kaa kimya[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Kisha unashinda baada ya kukosa.Iwafundishe pia kupaisha penati
Nasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee? Kama timu yako haiongozi ligi yoyote ile kaa kimya[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]Kama timu yako haijawahi kupigwa tano kwenye mechi moja [emoji850]
Umeandika ujinga, upumbavu au ushuzi!Simba alishaipiga Yanga 5-0
mkuu katika mechi 5 za nyuma kimataifa yanga amekuwa akimiliki mpira, akitoa sare ugenini akishinda nyumbaniTunazungumza uhalisia, yanga kimataifa bado sana
Na aibu ya kwa mkapa hatoki mtu, huku wakampelekea mwarabu kinyumenyume. Mwarabu akatokea hukohuko nyuma. 😅😅😅😅Yanga iwafundishe Simba jinsi ya kutumia uwanja wa nyumbani ili yale mambo ya kupigwa 3-0 nyumbani yasije kujirudia tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yanga ndio imejifunza kwa Simba acha kujitoa ufahamu hapa.Yanga iwafundishe Simba jinsi ya kutumia uwanja wa nyumbani ili yale mambo ya kupigwa 3-0 nyumbani yasije kujirudia tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16] makolooo mpooo???Wamekimbia uzi. Sasa wanautazama kama wanaaga msiba. [emoji1787][emoji1787]
Nasemaje kama timu yako haichezi champions leage kaa 🤐🤐Nasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee? Kama timu yako haiongozi ligi yoyote ile kaa kimya[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Tena hawa bamako walipigwa 3-1 na TP MazembeYanga tupe goal 4 mtani anajikunyata uko
dah kweli kombe la luza🤣🤣🤣🤣huyo mjinga mazoezini anahuzulia kweli🤔🤨🤔Goli la Moloko hili hapa
View attachment 2542158