FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Kuna mdau mwana Simba kasema kuwa Real Bamako ni vibonde
 
Kwasababu huwa tunakaa kutazama game na sio kupayukapayuka huku hujui hata kinachoendelea. Tunakuja Half time na Full time.
Ulicho mjibu ndio nilichotaka kumjibu.
Eti niache kufatilia soccer safi linalo tandazwa na vijana, nije kucomment!... sio kweli.
 
Gongawazi fainal yao ni vs Us Monstair March 19
Wakishinda wanaenda Robo fainal

Madunduka fainal yao ni vs Horoya March 18 Wakishinda wanaenda Robo fainal

Kwa maana iyo kurwa na doto wapo mguu pande mguu mmoja sawa
Ok. Table niliangalia wakati bado inakuwa updated. Haya Yanga kufeni na ndugu zake Nabi.
 
Assists 02.

Goal 01.

Leta porojo nyingine.
Ukichukua assist za CAF pamoja na magoli ukajumlisha na aliyopata NBC, ukayachukua na magoli ya Kisinda, ukachukua na magoli ya Morrison ukayaunganisha.

Ukayachukua kwenda kumfananisha na Saido utakuta wamemzidi Saido bao 2 halafu Assist wote hawamfikii
 
Kuna uwezekano mkubwa timu mbili za TZ kuingia robo fainali kwa mkupuo kwa mara ya kwanza.
 
Fo shuaaaa vile..muda si mrf nalog off
Ila kuna watu kama Chukwu emeka huwa hatuachi na Bantu Lady yani wanatuombeaga mabaya laivu laivu...
Jana mi pale vip B nimeshangilia sana na marafiki zangu wa Simba,hayo si ni maombi ufanikiwe 😀...........??? Hizi keyboard tunajifurahisha tu japo mkifanya vizuri mnakelele sana, hope mkuu leo umeinjoi japo leo nilikuwa offline kabisa hata mechi yetu sijaiona kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…