Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Daima mbele 💛💪💪💚Wananchi wameshinda na kila mtu yuko happy.
Sisi ndo Yanga..[emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daima mbele 💛💪💪💚Wananchi wameshinda na kila mtu yuko happy.
Sisi ndo Yanga..[emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti ya Real Bamako na mbeya kwanza ni nchi tu wanazotoka..Huna jipya na mchezo wa jana kama wa chekechea
Simba ndio munatabia za kishirikina.Msije mkawamwagia tena maji ya maiti, CAF wanapenda sana bifu za namna hii. Safari ijayo mnapangiwa timu zote za huko ili muende mara 3.
Mazembe akimfunga Bamako na Yanga anaenda robo.Gongawazi fainal yao ni vs Us Monstair March 19
Wakishinda wanaenda Robo fainal
Madunduka fainal yao ni vs Horoya March 18 Wakishinda wanaenda Robo fainal
Kwa maana iyo kurwa na doto wapo mguu pande mguu mmoja sawa
Hongera, naona mkeka umetickYanga 2 -0 Bamako
Nilitetema kabla ya ile penati tuliyoikosa maana niljua hapa lazima hapa [emoji1787][emoji1787]bwana Mungu si athumani[emoji1787]Kama nakuona vile! Hivi hukutetema kweli kutokana na furaha kuzidi mwilini?
Mechi inayofuata Yanga inacheza nyumbani dhidi ya Monastir, Yanga akishinda hiyo mechi basi kamaliza kazi hata mechi yake ya mwisho akifungwa magoli 20. Saaa sijui unaposema linaenda hadi mwisho ulikuwa unawaza yapi?Duh nimeangalia group table ya Yanga, kumbe hili group linaenda hadi dakika ya mwisho aisee [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Sasa yule msemaji wao alikuwa anaongea uharo gani juzi?
Masahihisho: Yanga kufeni na ndugu zake Nabi ila msituulie tu ndugu zetu katika kutafuta huo ushindi maana.....
Kutoboa kwenye nini?Kwa performance ya leo ..sioni tukitoboa.
Hawezi kwenda robo Mazembe hata akishinda hizo mechi mbili endapo tu Yanga itamfunga Monastir.Mazembe akimfunga Bamako na Yanga anaenda robo.
Mbu3 hawajielewi mzeeMechi inayofuata Yanga inacheza nyumbani dhidi ya Monastir, Yanga akishinda hiyo mechi basi kamaliza kazi hata mechi yake ya mwisho akifungwa magoli 20. Saaa sijui unaposema linaenda hadi mwisho ulikuwa unawaza yapi?
Magoli, assist na kuhusika kwnye magoliZa kupoteza pasi au?
Soma mpaka mwisho hiyo post uliyoninukuhu. Nilisoma table kabla hawajamaliza kuiupdate kwa hiyo kuna namba hazikuwa zimekaa sawa.Mechi inayofuata Yanga inacheza nyumbani dhidi ya Monastir, Yanga akishinda hiyo mechi basi kamaliza kazi hata mechi yake ya mwisho akifungwa magoli 20. Saaa sijui unaposema linaenda hadi mwisho ulikuwa unawaza yapi?
Ushindani wenu na Simba mnawafanya muwazie mbali mapema. Siyo mbaya kulenga pakubwa lakini. Simba wenyewe malengo safari hii ni nusu fainali, yaani hatua moja mbele ya inapogotaga. Sasa nyie mnawaza kuchukua ubingwa, hayaa kila mtu na malengo yake!Naona hili kombe lisipoenda uarabuni basi litakuja Tanzania. Yanga itatuheshimisha safari hii
Wewe jamaa kama sio mchawi soon uta anza hio shughuliNimefikiria tu huyu mchambuzi kama kaweza kumsema hivi Azizi Ki tena akiwa live...vipi akiwa peke yake au sehemu ambayo hakuna Camera hali itakuwaje?
Umepigwa wapi?Aziz ki tulipigwa sana
Siyo ndio lugha gani tena mbumbumbu waheed!Ni "siyo" siyo "sio". Lugha tu inakushinda, vingine tatizo linaweza kuwa kuvimbiwa mihogo?
Umepigwa wapi?Aziz ki tulipigwa sana
Na huyu Azizi Ki sijui ulimkopa maana hutaki aguswe kabisaWewe jamaa kama sio mchawi soon uta anza hio shughuli