FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Samahani wakuu, hivi hayo ni mashindano gani ?
 
Anyway, mnaoangalia mechi msichoke kutupa live updates maana siwezi nikakaa dk 90 nawaangalia utopolo wakiruka ruka na utopolo wenzao kutokea huko west Africa,, matumizi mabaya sana ya muda.
 
Hao mnaocheza nao ni vibonde kama TP mazembele
 
As real Bamako wanauwezo wa kuifunga Raja Casablanca nje ndani.. sema wamekutana na timu Bora Tanzania, east Africa na Afrika kwa ujumla hivyo hawana namna
Samahani hivi yanga ni ya ngapi kwenye msimamo wa klabu za africa? Ukilijua hilo utajificha kwa aibu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…