Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Saido tu janaAzizi Ki anapoteza mipira kirahisi
LoserSamahani wakuu, hivi hayo ni mashindano gani ?
ShukraniLoser
Sikumbuki ni mashindano gani ila ni haya mliyofanya hivi vitu Mwaka jana mkapigwa na faini juuSamahani wakuu, hivi hayo ni mashindano gani ?
Hata wakishinda 10-0 si hoja maana hayo ni mashindano ya walioshindwa!! losers!!Ushindi wa kishindo Kwa Yanga 3-0
Hujajibu swaliSikumbuki ni mashindano gani ila ni haya mliyofanya hivi vitu Mwaka jana mkapigwa na faini juuView attachment 2542113
10 x 5 million = ??Hata wakishinda 10-0 si hoja maana hayo ni mashindano ya walioshindwa!! losers!!
ya wanaumeSamahani wakuu, hivi hayo ni mashindano gani ?
Samahani hivi yanga ni ya ngapi kwenye msimamo wa klabu za africa? Ukilijua hilo utajificha kwa aibu!!As real Bamako wanauwezo wa kuifunga Raja Casablanca nje ndani.. sema wamekutana na timu Bora Tanzania, east Africa na Afrika kwa ujumla hivyo hawana namna