FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Samahani wakuu, hivi hayo ni mashindano gani ?
 
Samahani wakuu, hivi hayo ni mashindano gani ?
Sikumbuki ni mashindano gani ila ni haya mliyofanya hivi vitu Mwaka jana mkapigwa na faini juu
hqdefault(4).jpg
 
Anyway, mnaoangalia mechi msichoke kutupa live updates maana siwezi nikakaa dk 90 nawaangalia utopolo wakiruka ruka na utopolo wenzao kutokea huko west Africa,, matumizi mabaya sana ya muda.
 
Hao mnaocheza nao ni vibonde kama TP mazembele
 
As real Bamako wanauwezo wa kuifunga Raja Casablanca nje ndani.. sema wamekutana na timu Bora Tanzania, east Africa na Afrika kwa ujumla hivyo hawana namna
Samahani hivi yanga ni ya ngapi kwenye msimamo wa klabu za africa? Ukilijua hilo utajificha kwa aibu!!
 
Back
Top Bottom