FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Hiyu mchambuzi wa ZBC2 atakuwa ni shabiki wa Kolo haiwezekani amponde Azizi Ki kuwa anapoteza mipira wakati dakika zote amekuwa msaada uwanjani na pasi zake zimefika kwa accurancy ya juu
Moja ya vitu vigumu kuvificha kwenye nchi hii ni mahaba baina ya timu hizi mbili.
 
Hiyu mchambuzi wa ZBC2 atakuwa ni shabiki wa Kolo haiwezekani amponde Azizi Ki kuwa anapoteza mipira wakati dakika zote amekuwa msaada uwanjani na pasi zake zimefika kwa accurancy ya juu
Ni kweli Aziz anapoteza mipira
 
Kumbe naye kaliona hilo. Mimi nimechagua kunyamaza leo.
Kuna mdau nakumbuka alianzisha uzi humu na alipigwa vita sana na mashabiki wa Uto

Sikumbuki ni nani ila ukweli umeanza kusemwa na watu ambao hawakudhaniwa
 
Nasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeee??? Kama timu yako haina pwointi 7 kaa kimya[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Point 7 za mashindano gani ?
 
Huyu namba 7 wa Bamako anayeingia wamzingatie sana
 
Mchezaji wetu anaekadiriwa kupokea milion 20+ ametolewa sub
 
Two more goals plz young African tumpongeze mama thiku ya wanawake 15 millions.
 
Kuna mdau nakumbuka alianzisha uzi humu na alipigwa vita sana na mashabiki wa Uto

Sikumbuki ni nani ila ukweli umeanza kusemwa na watu ambao hawakudhaniwa
Nayakumbuka majadiliano yale. Ndiyo maana ukiona watu wabishi kwa kitu unachoamini, waache muda utasema ukweli ni upi.
 
Kuna mdau nakumbuka alianzisha uzi humu na alipigwa vita sana na mashabiki wa Uto

Sikumbuki ni nani ila ukweli umeanza kusemwa na watu ambao hawakudhaniwa
Aziz master [emoji360] ni top player.. Ni suala la muda tu utamkubali.
Nikukumbushe tu wewe ndio uliyemkoli okwi bonan sunzu kuanzisha uzi wa kumponda mayele
 
Back
Top Bottom