Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hebu tulia!!SIamini watu wanataka Azizi mdomo atoke...si ndo huyu walisema mchezaji hatari...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tulia!!SIamini watu wanataka Azizi mdomo atoke...si ndo huyu walisema mchezaji hatari...
Moja ya vitu vigumu kuvificha kwenye nchi hii ni mahaba baina ya timu hizi mbili.Hiyu mchambuzi wa ZBC2 atakuwa ni shabiki wa Kolo haiwezekani amponde Azizi Ki kuwa anapoteza mipira wakati dakika zote amekuwa msaada uwanjani na pasi zake zimefika kwa accurancy ya juu
Ni kweli Aziz anapoteza mipiraHiyu mchambuzi wa ZBC2 atakuwa ni shabiki wa Kolo haiwezekani amponde Azizi Ki kuwa anapoteza mipira wakati dakika zote amekuwa msaada uwanjani na pasi zake zimefika kwa accurancy ya juu
Nasemajeeeeeeeeee? Kama timu yako haina pwointi 7 kaa kimyaweka ushahidi! Bamako haiko kabisa kwenye ramani ya soka la afrika!!
Kuna mdau nakumbuka alianzisha uzi humu na alipigwa vita sana na mashabiki wa UtoKumbe naye kaliona hilo. Mimi nimechagua kunyamaza leo.
Kutesa kwa zamu sio!!!🤣🤣🤣Yani huu utani bana mnaweza nuniana...ila stay cool...jana na ww ulikua hivi hivi 😆
Sijawahi kuhitaji staha zako....!!Bro tazama mechi enjoy acha kununua kesi. Nimekustahi
basi sawa kumbe nilikucheka jana !Jana mbona ww ulitucheka?
Mwambie umeniuzia mimi huo ugomvi 😂😂😂😂😂😂😂Sijawahi kuhitaji staha zako....!!
Point 7 za mashindano gani ?Nasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeee??? Kama timu yako haina pwointi 7 kaa kimya[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
😅😅 Jamaa boya sana huyu....Mwambie umeniuzia mimi huo ugomvi 😂😂😂😂😂😂😂
Punguza jazba mkuu, hilo jamaa mlipigwaGoli la Azizi K alilowapiga Makolokolo bado limeng'ang'ania ujauzito kwako hadi ujifungue ndipo akili zitakurudia.
Ila kuwa kama mwanaume usiingilie yasiyokuhusu. Hizo tabia za kikeSijawahi kuhitaji staha zako....!!
Nayakumbuka majadiliano yale. Ndiyo maana ukiona watu wabishi kwa kitu unachoamini, waache muda utasema ukweli ni upi.Kuna mdau nakumbuka alianzisha uzi humu na alipigwa vita sana na mashabiki wa Uto
Sikumbuki ni nani ila ukweli umeanza kusemwa na watu ambao hawakudhaniwa
Njoo nikukalishe ujue uanaume wangu kwa vitendo!.Ila kuwa kama mwanaume usiingilie yasiyokuhusu. Hizo tabia za kike
Aziz master [emoji360] ni top player.. Ni suala la muda tu utamkubali.Kuna mdau nakumbuka alianzisha uzi humu na alipigwa vita sana na mashabiki wa Uto
Sikumbuki ni nani ila ukweli umeanza kusemwa na watu ambao hawakudhaniwa
Msamehe bure. Tuendelee kuiombea Yanga, iongeze hata moja.😅😅 Jamaa boya sana huyu....