FT: Yanga S.C 3-1 Geita Gold | NBC Premier League | Chamazi Complex | 12.03.2023

Hamna kitu kinauma kama kufanya kitu kwa nguvu weee lakini kila ukitazama unajiona uko palepale, na hiko ndo' kinawauma watu hapa, wanajikakamua mno mno lakini mwisho wa siku bure. Waste of energy.

Naomba tuwaelewe na haya maumivu wanayoyapitia. Ni mental case. [emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…