Kama umefiki Mara 200 na goli 3 Basi timu lako la ovyohivi anaye hesabu shot on/off target ni mtu ama kompyuta
maana tumefika golini kwa geita mara 200 nasubiri kuona takwimu hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umefiki Mara 200 na goli 3 Basi timu lako la ovyohivi anaye hesabu shot on/off target ni mtu ama kompyuta
maana tumefika golini kwa geita mara 200 nasubiri kuona takwimu hapa
NingewashangaaaAsante sana mtani, hatukuwa na shaka kabisa. Tumpige Mazembe 3, tumshindwe mchimba dhahabu wa kwetu?
Kombe la mbuziHata mkishinda ila uto mpo shirikisho la waliofeli
Bado upo?Piga UTO hao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Anahesabu machungwaTate Mkuu where are you? Mvua 3 tayari huku. Au uko njiani kama kawa 😂😂😂😂😂😂
la hovyo ila halifikiii u hovyo timu zilizo baki maana kazikanda zoteKama umefiki Mara 200 na goli 3 Basi timu lako la ovyo
Bado upo?Leo UTO watapigwa kama ngoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
🤣🤣🤣 dua la kukuYanga km Yanga leo anapigwa paka analia nyau Nangu Nyau atatema dhahabu
Weka akiba ya maneno, bado hujamalizana na sisiHamna ligi hapa huu uhuni na upangaji matokeo
Bado upo mgodini?Niko huku mgodini geita ila hali ya hewa siyo nzuri[emoji196][emoji3][emoji196][emoji196][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223]
Nimeseka Geita paka nyau Nangu Nyau atatema dhahabu, haujaelewa wapi Ngosha?🤣🤣🤣 dua la kuku
Unakunywa dhahabu au?Niko huku mgodini geita ila hali ya hewa siyo nzuri[emoji196][emoji3][emoji196][emoji196][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223]
Akijibu hii nitag mzee BigiKunywa maji mengiiiiii. Piga diclopar kisha lala. I am sorry for the pain, we are Yanga. Na unavyokosa raha ndo' raha yangu/ yetu.
Kama unaumia sana, achana na ligi ya Tanzania kashabikie huko unakohisi utapata raha maana kwa hapa Tanzania utaumwa sana.
Alafu umerukwa na akili mpaka unaanza kuongea kuhusu fake ID, sasa mimi na wewe nani mwenye fake ID. I go by the name of Steve Mollel, vipi wewe? Unaitwa mbwa?
Mbona unaanza kutukana Sasa? punguza makasiriko huu ni mpira tu usikutoe utu.Aisee hiz fake I'd ni shida .
Me nilitegemea utuambie Simba kafungwa na yanga Zaid et ulishangilia sare ,ivi game iliyopita Nan alitaman mpira uishe haraka kati ya Simba na yanga .
Nenda kitakwimu acha kelele za kijinga .
Ajab unadai nina njaa na stress ukute hapo ulipo unagongea hata pakulala ,kula yenyew ni shida.
Machoko kama nyie I'd fake hiz zinawasitir sana .
Kungekua na real id hapa ungekua na ujasir wa kuropoka huo upuuz .
The way u sound it's obvious ni punk fulan lenye njaa Kali na maisha ya kuunga unga ,smart people na mwenye mafanikio hawez ku sound km wewe .
Zaid kalia huu [emoji867]
We talk about football we unaleta shida zako hapa ,ajabu ukute hata kadi ya timu huna Zaid ya kuwa mshangiliaj na kelele kibao huku huna mbele wa nyuma .
Onyesha hata kadi ya uanachama na mimi nikuonyeshe tuone Nan ana njaa na stress kati ya wewe na mimi.
Maisha yakiwapiga mnakimbilia kuattack watu na kukenuakenua mineno hapa jf .