Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Hongera mtani, kuna member kaandika comment ya cry a river huo wimbo unao mkuuHT: Makolo walikuwa meno thelathini na nje yote mbili 😀
Kwasasa hawaamini kilichotokea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mtani, kuna member kaandika comment ya cry a river huo wimbo unao mkuuHT: Makolo walikuwa meno thelathini na nje yote mbili 😀
Kwasasa hawaamini kilichotokea.
Droo ya meza au? Unadhani hii ni Ngada fc?Game droo
Nyamaza!OKW BOBAN SUNZU Kalpana Ghazwat Bill Scars Kambi ya Fisi Mtoto halali na hela Greatest Of All Time mje mbebe rafiki zenu, hawana hata nauli ya kurudi kwao. Mbona mmewakimbia tena???
kwa sababu popote anakupigaKwanini Yanga Haina uwanja?
Muuza ngada hayupo tena msimbazi wewe mla ugali wa sukariDroo ya meza au? Unadhani hii ni Ngada fc?
Wenzako walishaacha hizi ngonjera, itakua hawajakuambiahili la bahasha alihitaji kuwa mchambuzi wa mpira kutambua. Haya mambo yanaharibu raha ya kushabikia mpira
Nikinyamaza mawe yatapiga kelele 😂😂😂😂😂😂Nyamaza!
Khaa jamaniHamna ligi hapa huu uhuni na upangaji matokeo
Droo ya meza au? Unadhani hii ni Zuwena fc?Ngoma droo
Kwaio mmekubali bidhaa za Bakhresa,timu inaendeshwa kiswahili.kwa sababu popote anakupiga
asa awe na uwanja wa nini
Hongera mtani, kuna member kaandika comment ya cry a river huo wimbo unao mkuu
Tangu lini mawe akapiga kelele?Nikinyamaza mawe yatapiga kelele 😂😂😂😂😂😂
May I have it p'se😀 Now it's your turn, to cry!!
kama kutofungwa mechi 49 sawa na arsenal ni uswahili basi wacha iweKwaio mmekubali bidhaa za Bakhresa,timu inaendeshwa kiswahili.
Baada ya yote hili ndilo umekuja nalo. Tujengee karibu Jangwani, tukupe contract...Kwanini Yanga Haina uwanja?