Kama la wauza kahawa pale msimbaziHawana Team Pale Lile Ni Genge!!
Unakumbuka Tp mazembe tulimfanya niniYanga bana wanajitajiaga mijigoli miiingii wanaishi 1 wakjitahidi 2
Wananchi tumejaa tele tukisubiria point zetu 3 muhimu kuelekea kuchukua ubingwa kwa mara ya pili mfululizo.Wananchi wenzangu Tate Mkuu, ukikaidi utapigwa2 , babu onyango , Joseverest Bantu Lady , Daudi Mchambuzi, Kilimbatzz, Labani og, Shadeeya na Wana Yanga wotee tujongee kulisapoti chama letu[emoji123]
Wakikalishwa pia itabidi ukae naoNasimama na Geita gold,,
Mechi dk 90Wakikalishwa pia itabidi ukae nao
Unaongea kana kwamba sisi wengine vipofu..Yanga wanagonga boli fulani amaizing[emoji91][emoji91][emoji91]
Wewe huoni pira asali pira ArgentinaUnaongea kana kwamba sisi wengine vipofu..
Kwa mpira gani, pira papatu papatu mnashindwa hata kupiga pasi tatu zikafikaWewe huoni pira asali pira Argentina
Kawaida yetu, mbute mbute ilikua janaYanga wanagonga boli fulani amaizing[emoji91][emoji91][emoji91]