Watarudi wakisawazishaUTO wamekimbia UZI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo mwanzo mwengaWatarudi wakisawazisha
Tupo mwanzo mwenga
Kolo kaa kwa kutulia
Elias Maguli, zao la Simba huyo.20' Maguli Goooooooooooooaaal gooal
Elias Maguli anaweka kambani bao la kwanza kwa Geita Gold
Ni nzuri kuliko ile ya majaliwa stadium wakati zote ni artificialHiki kiwanja cha azam kina pitches nzuri sana.
Grade/Viwango ni tofauti ila nzuri yaani mpira unaona hapo unaona kiwango halisi cha mchezaji..Ni nzuri kuliko ile ya majaliwa stadium wakati zote ni artificial
ππ Vijana wetu wanacheza show game! Halafu wamekosa utulivu na pia wanapoteza pasi nyingi. Labda kipindi cha pili watabadilika. Ila wakiendelea na aina hii ya mchezo, tukijitahidi sana basi ni sare.Hamuwezi amini nilijua ni madunduka. Ilibaki nusu niseme ushindi kwa Geita nyie πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Naitakia Yanga ushindi, kila la kheri.
uzuri mnajua wametangulia tu ila hawana uhakika wa kushindaInabidi watume muamala tigo pesa second half
Mkuu hii game tumeshikwa pabaya, ilo goli lakutanguliwa nalo limewachanganya wachezaji[emoji2][emoji2] Vijana wetu wanacheza show game! Halafu wamekosa utulivu na pia wanapoteza pasi nyingi. Labda kipindi cha pili watabadilika. Ila wakiendelea na aina hii ya mchezo, tukijitahidi sana basi ni sare.