mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
- Thread starter
-
- #141
Hahahaha...goli la Geita wameachiwa kugeresha tu kuwa Yanga, wamepata upinzani......ngoja uone kipindi cha pili 'Mayele ateteme..... hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapa hawafungi had kipindi cha pili muamala ukisoma
Mayele Leo hayupo hata subYaani
Hahahaha...goli la Geita wameachiwa kugeresha tu kuwa wamepta upinzani......ngoja uone kipindi cha pili 'Mayele ateteme.....
horoya pekee ndo mwenye kibali cha kuua jituJitu life tuheshimiane mjini hapa
Tulia weweKhaa MNA uchovu wa nini nyie uto
nyie mnachukua muamala wenzenu wakipewa mnaona wivuMuamala usome sasa.
Waambie watu mnapumulia mipira labda mpaka muamalaHT: Yanga 0-1 Geita Gold
Atulie kwani yeye ndio ananyolewa Chamazi?Tulia wewe
Geita ndio wanaopumulia mipira, halafu umesahau sisi ndio king of comeback?Waambie watu mnapumulia mipira labda mpaka muamala
Njoo wewe nikunyoeAtulie kwani yeye ndio ananyolewa Chamazi?
Si hadi mzifungeKipindi cha pili tuna goli zetu nyingi tu Hawa geita watajuta
Wapeni tunyie mnachukua muamala wenzenu wakipewa mnaona wivu
Sasa mkuu tutazifungaje wakati kipindi cha pili bado?Si hadi mzifunge