FT: Yanga S.C 3-1 Geita Gold | NBC Premier League | Chamazi Complex | 12.03.2023

FT: Yanga S.C 3-1 Geita Gold | NBC Premier League | Chamazi Complex | 12.03.2023

Yaani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapa hawafungi had kipindi cha pili muamala ukisoma
Hahahaha...goli la Geita wameachiwa kugeresha tu kuwa Yanga, wamepata upinzani......ngoja uone kipindi cha pili 'Mayele ateteme..... hahahaha
 
Geita ya minziro haiwez shinda dhidi ya yanga.
Ni sawa yanga akutane na singida .
Hii ni zuga tu subir kipind Cha pili uone magoli ya ajab ajab yakipatikana Kwa uto
 
Hivi Wazee Wa Utopolo Waliosema WanaSUSA Kila Kitu cha AZAM...!
Hawajajua Wenzao Wamewazunguka Na Sasa Wanatumia Kiwanja cha Chamazi..?
Waambiwe Chamazi pia ni AZAM..!
 
Back
Top Bottom