utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Kasi sana ya kwenda wapi? Team prison hapaMpira umeanza Kwa kasi sana
Kausha kabla hatujamwita Raja...Uzi unaanzishwa dakika 20 baada ya mchezo
Wananchi wengi ni wafanyakaz&wafanyabiashara wakubwa sio kama madunduka hawana shughuli za kueleweka, next time muanzishe tu thread sisi tuko busy sana.Uzi unaanzishwa dakika 20 baada ya mchezo
Na ile aliyoruka ni tikitaka au takataka?.Musonda anashindwa kuzitumia nafasi nyingi za wazi za kuipatia Yanga magoli
Ile tunaweza kuiita ni takatakaNa ile aliyoruka ni tikitaka au takataka?.
Bando ni tatizo mkuu Wananchi wengi vipato duniUzi unaanzishwa dakika 20 baada ya mchezo
Wengine ni pressure ya mchezoBando ni tatizo mkuu Wananchi wengi vipato duni
Nimekausha mpaka kameunguaKausha kabla hatujamwita Raja...