FT | Yanga S.C 4-1 Prisons: Azam Federation Cup: Uwanja wa Chamazi, 03/03/2023

FT | Yanga S.C 4-1 Prisons: Azam Federation Cup: Uwanja wa Chamazi, 03/03/2023

utopolo og

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
575
Reaction score
1,575
Mabingwa watetezi wa Azam Federation Cup Young Africans leo majira ya saa Moja usiku watashuka katika Simba la Chamazi kumenyana na Tanzania Prisons katika hatua ya 16 bora ya michuano hiyo.

Ikumbukwe lazima mshindi apatikane Leo, Je ni Wananchi au wajelajela ndio wataotoka na kicheko?

Tuwe wote majibu yatapatikana baada ya Dak 90..

Dakika 90 zimekamilika Kwa Yanga kuibuka una ushindi wa magoli 4-1.
Magoli yote yakifungwa kipindi cha pili

20230303_191519.jpg
 
Dak 18 Bado milango ni migumu kwa pande zote
 
Dak ya 30, shuti Kali la Aziz K linaokolewa pale na kipa wa prison
 
Back
Top Bottom