Mashabiki wengi wa Uto ni cowards, tangu wafungwe na Ihefu wamekosa kabisa kuniaminiWanajipa pressure ya bure tu, nimemsikia mchezaji wa Tanzania Prisons akisema hii game wao si muhimu sana, kwasababu wao macho yote yapo Ligi Kuu Tanzania Bara kulingana na nafasi walipo.
Kuna kujifunga piaYanga leo wamemalizana mapeema na forward kama wawili wa Prisons. Hakuna goli pale watafunga, labda aje kufunga beki au kipa wao.
Wapeni kyomboHao forward wa Tanzania Prison wakitoka uwanjani askari wenzao wamalize nao kabla ya Takukuru. Hawakimbii wala hawakabi. Wanaancha mabeki wa utopolo wacheze free, mbaya zaidi wakipata chance za kushuti, hawashuti.
Wakipata nafasi ni minazi tu. Hakuna forward pale leo.Hao forward wa Tanzania Prison wakitoka uwanjani askari wenzao wamalize nao kabla ya Takukuru. Hawakimbii wala hawakabi. Wanaancha mabeki wa utopolo wacheze free, mbaya zaidi wakipata chance za kushuti, hawashuti.
Ndugu wawili wakicheza, hiyo ni kawaida sana kuionaHao forward wa Tanzania Prison wakitoka uwanjani askari wenzao wamalize nao kabla ya Takukuru. Hawakimbii wala hawakabi. Wanaancha mabeki wa utopolo wacheze free, mbaya zaidi wakipata chance za kushuti, hawashuti.
Wanajua sana kufunga ila pia wanajua wanachokifanya.Wakipata nafasi ni minazi tu. Hakuna forward pale leo.
Watupe buku tuwaazime Mussa MohammedHT. Yanga 0-0 Prison
Nani kapewa kadi nyekundu?Refa amefurahiii kutoa kadi nyekundu, sijui ina bonus?
Kuna beki ingawa rafu ya pili sijaiona vizuri. Ya kwanza haikustahili kadi.Nani kapewa kadi nyekundu?
Basi Prison inabidi wajikite kwenye ulinzi tu wazitafute penatiKuna beki ingawa rafu ya pili sijaiona vizuri. Ya kwanza haikustahili kadi.
Kiuhaliaia Yanga wapo nyuma sana kuisapoti timu yao mitandaoni