FT | Yanga S.C 4-1 Prisons: Azam Federation Cup: Uwanja wa Chamazi, 03/03/2023

Huyu Musondo afya yenyewe mgogoro halafu anajaribu kufunga magoli ya Sacko. Tutamsafirisha kwao kwenye sanduku, we muache.
 
Mwamnyeto kafanya faulo kaachiwa. Same foul kafanya beki wa prison kala yellow [emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania raha sana
 
Sjaona sababu ya refa kutoa kadi nyekundu pale, ile ilikuwa faulu ya kawaida! Ndo maana marefa wetu wataendelea kuchezesha mchangani milele!
Umewahi kucheza hata mpira wa makaratasi? Ile ni second yellow card baada ya kadi ya njano aliyompiga teke la kiuno Moroco,kama huko kwenu faulo ya Kisinda siyo yellow card basi mpo old stone age
 
Kwani Yanga walimsajili Doumbia kwa ajili ya kusugua benchi?

Yaani hata mechi kama hizi bado tu anawekwa benchi, na mpaka dakika 90 zinaisha hata kucheza hachezi!!
 
Refa amefurahiii kutoa kadi nyekundu, sijui ina bonus?
Kenge wa kijani wewe, inamaana pia Marefa walifurahi walipotoa kadi mechi zenu Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Manyaunyau/Ngada/Kolowizards/Zuwena/Kinyume nyume FC dhidi ya Mtibwa Sugar na TZ Prison kwenye NBC PL hadi mkashinda 5-0, 7-1 na kujidanganya mna strikers wakali sana kumbe ni PUMBA [emoji848][emoji4]
 
Pia prison watakuwa wamemalizana na washambuliaji wa Yanga maana paka Sasa goli kama 3 za wazi wamekosa
Zote zilikuwa on target. Isingekuwa ubovu wa Musondo na pia nyakati nyingine ubora wa kipa, yale ni magoli. Hauwezi kulinganisha na wanachofanya forward wa Prisons.
 
Umewahi kucheza hata mpira wa makaratasi? Ile ni second yellow card baada ya kadi ya njano aliyompiga teke la kiuno Moroco,kama huko kwenu faulo ya Kisinda siyo yellow card basi mpo old stone age
We chizi Moroco toka lini ikacheza kombe la Azam! Mi ni refa by professional! Ile haikustahili kuwa kadi ukizingatia mchezaji tayari alikuwa na kadi ya kwanza! Kwa kuwa haikuwa faulu ya kuhatarisha ilibidi mwalimu atoe faulu ya kawaida. Kenge wewe
 
Pamoja na kukosa umakini kwa Msonda lakini huyu kipa wa prisons ni man of the match
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…