Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Benki no.3 nadhani IbrahimNani kapewa kadi nyekundu?
Umewahi kucheza hata mpira wa makaratasi? Ile ni second yellow card baada ya kadi ya njano aliyompiga teke la kiuno Moroco,kama huko kwenu faulo ya Kisinda siyo yellow card basi mpo old stone ageSjaona sababu ya refa kutoa kadi nyekundu pale, ile ilikuwa faulu ya kawaida! Ndo maana marefa wetu wataendelea kuchezesha mchangani milele!
Wameshamchosha kipa. Kuna goli watafungwa hata kama la gonga nikugonge.Basi Prison inabidi wajikite kwenye ulinzi tu wazitafute penati
Mahaba yatakuua mkuuMwamnyeto kafanya faulo kaachiwa. Same foul kafanya beki wa prison kala yellow [emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania raha sana
Huo uwezo wanao?🤣Basi Prison inabidi wajikite kwenye ulinzi tu wazitafute penati
Umekua mtabiri tamb tambWameshamchosha kipa. Kuna goli watafungwa hata kama la gonga nikugonge.
🤣🤣🤣Kadi wanapewa prison wanaopata maumivu ni mbumbumbu imekaaaje hii?
Kwani Yanga walimsajili Doumbia kwa ajili ya kusugua benchi?Mabingwa watetezi wa Azam Federation Cup Young Africans leo majira ya saa Moja usiku watashuka katika Simba la Chamazi kumenyana na Tanzania Prisons katika hatua ya 16 bora ya michuano hiyo.
Ikumbukwe lazima mshindi apatikane Leo, Je ni Wananchi au wajelajela ndio wataotoka na kicheko?
Tuwe wote majibu yatapatikana baada ya Dak 90..
View attachment 2536156
Kenge wa kijani wewe, inamaana pia Marefa walifurahi walipotoa kadi mechi zenu Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Manyaunyau/Ngada/Kolowizards/Zuwena/Kinyume nyume FC dhidi ya Mtibwa Sugar na TZ Prison kwenye NBC PL hadi mkashinda 5-0, 7-1 na kujidanganya mna strikers wakali sana kumbe ni PUMBA [emoji848][emoji4]Refa amefurahiii kutoa kadi nyekundu, sijui ina bonus?
Zote zilikuwa on target. Isingekuwa ubovu wa Musondo na pia nyakati nyingine ubora wa kipa, yale ni magoli. Hauwezi kulinganisha na wanachofanya forward wa Prisons.Pia prison watakuwa wamemalizana na washambuliaji wa Yanga maana paka Sasa goli kama 3 za wazi wamekosa
We chizi Moroco toka lini ikacheza kombe la Azam! Mi ni refa by professional! Ile haikustahili kuwa kadi ukizingatia mchezaji tayari alikuwa na kadi ya kwanza! Kwa kuwa haikuwa faulu ya kuhatarisha ilibidi mwalimu atoe faulu ya kawaida. Kenge weweUmewahi kucheza hata mpira wa makaratasi? Ile ni second yellow card baada ya kadi ya njano aliyompiga teke la kiuno Moroco,kama huko kwenu faulo ya Kisinda siyo yellow card basi mpo old stone age
Kushikilia bomba hapa na Moro?Huo uwezo wanao?🤣
Rage ana majibu yote.Kadi wanapewa prison wanaopata maumivu ni mbumbumbu imekaaaje hii?