FT | Yanga S.C 4-1 Prisons: Azam Federation Cup: Uwanja wa Chamazi, 03/03/2023

Forward ya Prisons ikifika kati inatoa pasi kwa beki yoyote wa Yanga aliye karibu. Sijui hata kipa wa Yanga leo ni nani.
 
Naona mlungula umewafikia mabeki sasa maana....
 
Mashabiki wa Yanga wanawaghasi sana hawa mabeki wa simba kwa kuwapigia kelele sana za fujo hali inayowafanya wafanye makosa golini kwao
 
Mashabiki wa Yanga wanawaghasi sana hawa mabeki wa simba kwa kuwapigia kelele sana za fujo hali inayowafanya wafanye makosa golini kwao
Simba tena 🤣........ ndiyo maana hata Azam huwa tunawapiga kwasababu uwanja upo karibu na mashabiki
 
Yanga ingemletea kiti na gazeti huyu golikipa awe anasomasoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…