SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Hilo la Mayele halitambuliki maana halina tuzo.Mbona goli la acrobat la Mayele kwenye NBC PL hulizungumzii?
Achana na mahaba yatakuua wewe Makolokolo [emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo la Mayele halitambuliki maana halina tuzo.Mbona goli la acrobat la Mayele kwenye NBC PL hulizungumzii?
Achana na mahaba yatakuua wewe Makolokolo [emoji1787]
Kwenye ukweli mi huwa nasema, yaani ni sawa tu na kusema Sawadogo ni zaidi ya garashaNapenda sana kusikia vitu vya namna hii
Yule hata mi simuelewi namuona kama Azizi Ki tuKwenye ukweli mi huwa nasema, yaani ni sawa tu na kusema Sawadogo ni zaidi ya garasha
Yule hata mi simuelewi namuona kama Azizi Ki tu
Simba tena 🤣........ ndiyo maana hata Azam huwa tunawapiga kwasababu uwanja upo karibu na mashabikiMashabiki wa Yanga wanawaghasi sana hawa mabeki wa simba kwa kuwapigia kelele sana za fujo hali inayowafanya wafanye makosa golini kwao
Nimefikiria ina maana hii ulii save kabisa kuja kuitumia kama reference?
Rage anakusalimiaRose Muhando fc
Nimeikuta twitter wakimjadili Middle anaye itendea haki jezi ya Mnyama.Nimefikiria ina maana hii ulii save kabisa kuja kuitumia kama reference?
So what?!Mpira umeanza Kwa kasi sana