FT: Yanga SC 0 - 0 KVZ FC | Mapinduzi Cup | New Amaan Stadium | 04.01.2024

Leo refa kaona aibu kidogo!! Lakini Leo kulikuwa na tukio la mechi kusimama Okrah alipoumia lakini zimeongezwa dk 5 wakati juzi hakikuwa na tukio la mechi kusimama lakini ziliongezwa dk 7!! Jku waliibiwa pointing Yao 1 na wananchi!!
Huyu Okrah ndio nani? Au ndio yule aliyetoka Simba Sc?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] analazimisha furaha na venye hamna.
 
Utofauti wake na boko ni urefu na ufupi mkuu
Bora Bocco kazeeka anaweza kujitetea kwa hilo

Bocco katika ujana wake alikuwa ni threat

Sasa hawa watoto wanacheza ufyetele kama kichwani wana stimu
 
*Shekhan hamna kitu pale
*Kaanguka ndio ameanguka kabisaa (beki wa pembeni lakini muda wote anafikiria kupeleka mpira kati)
*Kibwana kiwango kimeshuka sana
*Mkude kiwango kimeisha

Yanga tulifungwa, tena kwa penalt... Kinachosaidia marefa wetu ni mashabiki
 
Refa kaona aibu kuongeza dk nyingi baada ya dk 90!! Yule wa juzi aliamua lolote liwalo na liwe!! Aliongeza dk 7 pamoja na kutokuwepo kwa tukio lolote la kusimamisha mchezo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…