FT: Yanga SC 0 - 0 KVZ FC | Mapinduzi Cup | New Amaan Stadium | 04.01.2024

Hiki kikosi si ndiyo huwa kinasemwa kocha akitaka kupanga anarusha jezi yeyote itakayomuangukia anaingia maana wanafanana ubora au hawa unawazungumzia wachezaji wa KVZ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…