FT: Yanga SC 0 - 0 KVZ FC | Mapinduzi Cup | New Amaan Stadium | 04.01.2024

Duh! Kila la heri kwa Wananchi. Naona kikosi kina mabadiliko ya kutosha tu. Nadhani wadogo zetu simba wana cha kujifunza hapa. Siyo kila mechi lazima Kapombe, Onana, Baleke, Ngoma, na Che Malone wacheze..
 
Hii timu B Ya Yanga wanacheza vizuri.
Inatakiwa concentration kidogo tu.
 
Hawa vijana wa Yanga wanaonekana hawana Afya kabisa.
Au ndio kulishwa Sukari na mikate tu?

Body Physic kwenye football ni muhimu sana
 
Duh! Kila la heri kwa Wananchi. Naona kikosi kina mabadiliko ya kutosha tu. Nadhani wadogo zetu simba wana cha kujifunza hapa. Siyo kila mechi lazima Kapombe, Onana, Baleke, Ngoma, na Che Malone wacheze..
🤣🤣🤣
 
Ni kuwakosea heshima wapenzi wa soka, hii KVZ nayo iliingiaje haya mashindano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…