FT: Yanga SC 0 - 0 KVZ FC | Mapinduzi Cup | New Amaan Stadium | 04.01.2024

FT: Yanga SC 0 - 0 KVZ FC | Mapinduzi Cup | New Amaan Stadium | 04.01.2024

Hii Utopolo wangepewa hata Simba Queens wangeshapigwa
Mwasibu punguza dharau. Ukiulizwa kwenye hicho kikosi cha Yanga kilichoanza leo, kina wachezaji wangapi wa kikosi cha kwanza; sidhani kama utakuwa na majibu.

Mwacheni kocha wetu aangalie na vipaji vingine. Na nyinyi mbaki na Benchika wenu, ambaye anapanga wachezaji wale wale kila mechi. Lengo tu ashinde, na hivyo kuepuka kulaumiwa na mashabiki mbumbumbu.
 
Tunawacheki vijana tu leo.
 
Ukiwaangalia hawa KVZ kwa karibu utagundua ni watu wazima kidogo ila wamepelekeshwa na Vitoto vya under 20.
🤣🤣🤣🤣
 
Duh! Kila la heri kwa Wananchi. Naona kikosi kina mabadiliko ya kutosha tu. Nadhani wadogo zetu simba wana cha kujifunza hapa. Siyo kila mechi lazima Kapombe, Onana, Baleke, Ngoma, na Che Malone wacheze..
Duh..! Ila Yanga poleni Sana..Maana kwa jinsi hii mnaonyesha Ukubwa mmeumisi na Mnaulilia Kweli Kweli...!

Yaani , Ukubwa hapa Barani Afrika Haujitangazii Wewe. Wapo Wenye Mpira wao Afrika Wanaitwa CAF.

Hawa CAF ndo huwa Wanasema Fulani ndio Mkubwa Namba moja Afrika, na Fulani ni Mdogo namba mfano 56 Afrika.

Hivyo Simba Pale Namba Saba kwa Ukubwa hajajitangazia.

Ushauri : usikate tamaa, Hizi ni Hatua za Ukuaji unapitia. Hata Giant Simba Afrika alizipitia,Siku moja Utakuwa Mkubwa Kama Simba na CAF ndo watasema.
So Relax....
 
Back
Top Bottom