FT: Yanga SC 0 - 0 KVZ FC | Mapinduzi Cup | New Amaan Stadium | 04.01.2024

Hawa ni wanajeshi kama ulikuwa hujui.
Ujue sasa.
 
Sasa kwa timu unazokutana nazo unaachaje kupanga hicho kikosi!! Ungekuwa unakutana na JKU na Singida ungewachezesha hao?
 
Nasikia yanga ni timu ya wachawi Tanzania..munawaloga wachezaji wa Simba sc sana...jamiii duni hukimbilia uchawi..nasikia hata hizi tano ni za mganga sio za yanga😀😀
Wanga,balaa...toka kombe la loser wao na vibonde vibonde na wao..hata trh 5 zilicheza ndumba tuu pale...
 
Wenyewe Wana 'CUF' Yao ya Lipumba😁😁😁
 
Singida imewahi kuifunga simba mara ngapi??

Timu yenye plan ya kucheza world cup ya vilabu halafu unakuja kulalamika umepangiwa na Singida na JKU, huoni huko ni kujishusha ??

Au huko world cup mtaenda kucheza na timu za chini kama unazozitaka?
 
Nasikia yanga ni timu ya wachawi Tanzania..munawaloga wachezaji wa Simba sc sana...jamiii duni hukimbilia uchawi..nasikia hata hizi tano ni za mganga sio za yanga[emoji3][emoji3]
Kimoyomoyo unajua nyie ni wachawi wa kutupwa.

Yanga bila uchawi hata wangemsajili nani,

Yanga pale ni Mzee Mpili wa Ikwiriri anacheza.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…