FT: Yanga SC 0 - 0 KVZ FC | Mapinduzi Cup | New Amaan Stadium | 04.01.2024

FT: Yanga SC 0 - 0 KVZ FC | Mapinduzi Cup | New Amaan Stadium | 04.01.2024

Hawa ni wanajeshi kama ulikuwa hujui.
Ujue sasa.
1000027944.jpg
 
Mwasibu punguza dharau. Ukiulizwa kwenye hicho kikosi cha Yanga kilichoanza leo, kina wachezaji wangapi wa kikosi cha kwanza; sidhani kama utakuwa na majibu.

Mwacheni kocha wetu aangalie na vipaji vingine. Na nyinyi mbaki na Benchika wenu, ambaye anapanga wachezaji wale wale kila mechi. Lengo tu ashinde, na hivyo kuepuka kulaumiwa na mashabiki mbumbumbu.
Sasa kwa timu unazokutana nazo unaachaje kupanga hicho kikosi!! Ungekuwa unakutana na JKU na Singida ungewachezesha hao?
 
Nasikia yanga ni timu ya wachawi Tanzania..munawaloga wachezaji wa Simba sc sana...jamiii duni hukimbilia uchawi..nasikia hata hizi tano ni za mganga sio za yanga😀😀
Wanga,balaa...toka kombe la loser wao na vibonde vibonde na wao..hata trh 5 zilicheza ndumba tuu pale...
 
Duh..! Ila Yanga poleni Sana..Maana kwa jinsi hii mnaonyesha Ukubwa mmeumisi na Mnaulilia Kweli Kweli...!

Yaani , Ukubwa hapa Barani Afrika Haujitangazii Wewe. Wapo Wenye Mpira wao Afrika Wanaitwa CAF.

Hawa CAF ndo huwa Wanasema Fulani ndio Mkubwa Namba moja Afrika, na Fulani ni Mdogo namba mfano 56 Afrika.

Hivyo Simba Pale Namba Saba kwa Ukubwa hajajitangazia.

Ushauri : usikate tamaa, Hizi ni Hatua za Ukuaji unapitia. Hata Giant Simba Afrika alizipitia,Siku moja Utakuwa Mkubwa Kama Simba na CAF ndo watasema.
So Relax....
Wenyewe Wana 'CUF' Yao ya Lipumba😁😁😁
 
Kwa nini yanga wanapangiwa vibonge au wanaloga maana nasikia wanaongoza kwa uchawi au wanahonga😀😀😀kwasababu jamuhuri ni timu ambayo ipo mwishoni kwenye ligi ya Zanzibar,jamus ni kiwete na nimkimbizi kutoka sudan ya kusini masikinii,..wakati JKU iliyocheza na Simba sc inaongoza ligi ya zanzibar,Singida gate munaijua sio timu rahis,APR ya Rwanda inaongoza ligi ya Rwanda...au kwasababu yanga naye ni timu ndogo ndio maana mara nyingi inakutana na wadogi wenzake?
Singida imewahi kuifunga simba mara ngapi??

Timu yenye plan ya kucheza world cup ya vilabu halafu unakuja kulalamika umepangiwa na Singida na JKU, huoni huko ni kujishusha ??

Au huko world cup mtaenda kucheza na timu za chini kama unazozitaka?
 
Nasikia yanga ni timu ya wachawi Tanzania..munawaloga wachezaji wa Simba sc sana...jamiii duni hukimbilia uchawi..nasikia hata hizi tano ni za mganga sio za yanga[emoji3][emoji3]
Kimoyomoyo unajua nyie ni wachawi wa kutupwa.

Yanga bila uchawi hata wangemsajili nani,

Yanga pale ni Mzee Mpili wa Ikwiriri anacheza.
 
Kocha mkuu wa Yanga amesema:
Kumekuwa na maneno mengi kuwa sifanyi mabadiliko ya kikosi kwa wachezaji. Nilianza kufanya hivyo nilipata matokeo mabaya dhidi ya Ihefu FC katika mechi ya Ligi Kuu tulipofungwa mabao 2-1. Nilipoona matokeo sio rafiki nikaendelea na mfumo wangu mashabiki waliendelea kuzungumza,” .

“Kwenye Mapinduzi nimetoa nafasi kwa wachezaji wote kucheza, lakini sioni wakipambana. Sina budi kusema ni kweli nina kikosi bora, lakini sio kipana. Hii ni kutokana na ubora wa wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza kuwa juu zaidi kuliko ninaowatumia kwenye mashindano haya.” .

“Wachezaji wanashindwa kujituma na hawapambani kama matarajio ya wengi yalivyo, hivyo ana kazi kubwa ya kufanya kuhakikisha kila mmoja anawajibika ili kuipambania timu.” alisema Gamondi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom