uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
refa urojo mtupuMpira sasa umechangamka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
refa urojo mtupuMpira sasa umechangamka
Kawanyima penatirefa urojo mtupu
Sijaandika bahati mbayalaisi--raisi
Vipi wameingia wazee?Hawa KVZ wangecheza hivi kipindi cha kwanza wakati vitoto vimejaa wangeweza kupata goli.
Hadi aibu!!Kawanyima penati
Inawezekana vitoto vilikuwa kikwazo kwao kuupiga mwingiHawa KVZ wangecheza hivi kipindi cha kwanza wakati vitoto vimejaa wangeweza kupata goli.
Wa4Vipi wameingia wazee?
Hakika, KVZ wamenyimwa penati kabisaHao ndo uto original!! Refa hatamaliza mechi Hadi yanga wafunge!! Yaleyale ya juzi!!
Huu ushauri ni kama hawakuuonaWapeni fungu mapema wasije kuwasumbua kama wa juzi
Walikuwa wazembe tuInawezekana vitoto vilikuwa kikwazo kwao kuupiga mwingi
[emoji23][emoji23][emoji23]Vipi wameingia wazee?