Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Hata mimi furaha yangu yote imeyeyuka baada ya kuwakosa Pacome na Aucho.Kikosi kimenifanya niwe mpole, nitaongea baada ya game kuisha.
Hata kamaIla kwenye hiki kikosi cha leo siwezi kumlaumu kocha. Maana hakuwa na namna nyingine. Pacome, Kwasi na Aucho bado hawajapona kwa 100%.
Mpe heshima yake Nungunungu mkuu......Ye mwenyewe anaona anatumiwa kama ndom tu na yule ni muhuni lazima afakishe kama payback
AhaaaaaKweli mpira ni haram, starehe gani moyo unadunda kama ngoma
Kweli mpira ni haram, starehe gani moyo unadunda kama nππππ
Mimi naona kiko sawa tu kulingana na hali iliyopo kwa sasa. Muhimu kila mchezaji uwanjani atimize wajibu wake, na pia kocha asimuingize mcezaji wake Guede!Hii mechi ya leo kwa hiki kikosi kuleni daku mapema.
Uongozi unahusika Vipi na benchi la ufundi?Kaka nishafika hapa ila walichokifanya uongozi wa Yanga SC Leo sio sahihi Kabisa roho imeniuma sana
Endeleeni hivyo hivyo mtapotea humuR.I.P UTOPIA
Marehemu alipambania sana nusu ya uhai wake,
Ila mwendo ameumaliza
Hayati:
Utolopwizo Mwakarobo
Kufariki:
Siku moja kabla ya Bwana Yesu kufufuka
Kuzikwa:
Benjamin W Mkapa graveyard
Ameyatimba!!!!!!
[emoji16][emoji16]
Labda kama watakuwa wamesimama tu uwanjani.Yanga anapigwa nyingi
Kuimba kupokezana huo ndio utaratibuYanga inacheza na Mamelod kipindi kibaya sana dah
mbona mulimuacha amis tambwe?Sisi tuliomuacha unadhani hiyo mipira yake mirefu hatukuiona?
Ngoja tu muda utimie mtasema yote