FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Utetezi wa maana kabisa huu.

Sisi tumefungwa kwasababu wachezaji wetu muhimu ni majeruhi (Aucho, Yao na Pacome).
 
Hii mechi ya leo kwa hiki kikosi kuleni daku mapema.
Mimi naona kiko sawa tu kulingana na hali iliyopo kwa sasa. Muhimu kila mchezaji uwanjani atimize wajibu wake, na pia kocha asimuingize mcezaji wake Guede!

Badala yake ampe nafasi ya kwanza Augustine Okrah kwa sub ya Kennedy Musonda.
 
Back
Top Bottom