MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Jana watu wamekula kimoja cha jogoo.Vyura kweli hamjiamini maneno Mengi ila ujasiri 0 wazee wa Timu ya ushindani leo yamekua ayo
Acha kujishusha we 🐸Dah nimesikitika sana kuwakosa Pacome Yao na Aucho kisa mechi ya Azam na mechi yenyewe tukapoteza😥😥😥
Yaap ila hamna jinsi cha msingi wa stick katika game plan ya kocha.Mimi naona kiko sawa tu kulingana na hali iliyopo kwa sasa. Muhimu kila mchezaji uwanjani atimize wajibu wake, na pia kocha asimuingize mcezaji wake Guede!
Badala yake ampe nafasi ya kwanza Augustine Okrah kwa sub ya Kennedy Musonda.
Nimelia wapi au nikupostie clip mlizolia nyinyi jana uwanjani.Kuna sehem nimewataja hao ww vip. Jiandae kukunjwa Misri kule meza za kupindua hamna ni mwendo wa majamvi.We ata ujaingia uwanjani ushaaza kulilia mara ohoo kikosi mara Aucho Mara pacome Ngoja ubondwe apaaa ndio utajua ujui