FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Haya. Ngoja tuone. Ndo wanaingia.
 
Mimi naona kiko sawa tu kulingana na hali iliyopo kwa sasa. Muhimu kila mchezaji uwanjani atimize wajibu wake, na pia kocha asimuingize mcezaji wake Guede!

Badala yake ampe nafasi ya kwanza Augustine Okrah kwa sub ya Kennedy Musonda.
Yaap ila hamna jinsi cha msingi wa stick katika game plan ya kocha.
 
We ata ujaingia uwanjani ushaaza kulilia mara ohoo kikosi mara Aucho Mara pacome Ngoja ubondwe apaaa ndio utajua ujui
Nimelia wapi au nikupostie clip mlizolia nyinyi jana uwanjani.Kuna sehem nimewataja hao ww vip. Jiandae kukunjwa Misri kule meza za kupindua hamna ni mwendo wa majamvi.
 
Back
Top Bottom