Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Dalili zinaonesha Yanga itaogelea magoli ya kutosha 😆😆Match Day 1st Leg.
Robo fainali
Yanga vs Mamelodi
Muda ni Saa 3 Usiku.
Kuwa hapa nami kwa update za kabla na wakati wa mchezo
View attachment 2949337
Kikosi cha Yanga
Leo inabidi awe serious. Mame naona wametulia hawana haraka ila movement zao zinaoneka zina accuracy.Uyu jamaa hadi akose nafasi 9 ya 10 ndo afunge
haiwezekani hata iwejeDalili zinaonesha Yanga itaogelea magoli ya kutosha 😆😆
Niko palee subiria mtalia Kwa lugha zotehaiwezekani hata iweje
Umbwaaa...Goooooooaaaaaaaaaaaaaaaal shalulile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Saizi ni muda rafiki unaruhusiwa.
Ingekuwa middle of the day sawa
Acha umama bintiGoooooooaaaaaaaaaaaaaaaal shalulile