DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Yamepitaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunajisumbukia ya sahivi hapaa. Ya jana yashapitaaa
Boli linatembea au wamepaki nyuma π€£π€£Uoni boli linatembea?
Labda huko baktaMAMELOD 1 huko
Zwane umemuona hapo?mamelodi kaweka silaha zote ila wapiiii kwa dakika 70 hizi
Wana Six Pack au wanapack nini?Yanga wanapack sana π€£π€£π€£
Angalia mpira weweMmmh wee hebu sema kwelii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Km yalivyopitaaa,Yamepitaje?
Nyuma yanga wako 8Uoni boli linatembea?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulia eve bhana,Angalia mpira wewe
Sio six mzee wana 9 pack..Wana Six Pack au wanapack nini?
Hpn atokeee kachokaa