FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Vyura wanashangilia sare Tena nyumbani
20240219_161912.jpg
 
Udugu mbona una presha sana leo kuliko jana mlivyocheza na waarabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tukutane tar 05/04, afu mchana sasa saa 9. Woiiiiiih
 
Eti ile mechi kubwa AFRICA...HII ndio ball possesion..
Hawa ndio wachambuzi wa kibongo....!!
 
Back
Top Bottom