FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Look at this😳😳😳
 
Sio kama hawajui, wanajua sana sema wanatafuta sehemu ya kupunguzia maumivu yao ukizingatia wiki mbili nzima walitutambia kwa hawa Mamelod hadi kununua jezi zao. Ila picha ikaanza jana chali wakapigwa halafu huku walitegemea wafarijiwe na Mamelod wamechemka pamoja na kutokuwepo kwa Yao, Pacome na Aucho. Yaani imewauma sana hapo wanajiongelesha ili kupunguza maumivu yao
 
MUNGU ANAJIBU MAOMBI JAMAN YAAN SIO KWA MOTO ULE WA MAMELODYNAHABAR ZILIZOTUFIKIA WANA MAJERUHI WAWILI MOTO WATACHEXA MARUDIANO TUJIPANGE NA AZIIZ WETU WA SINDANO
Muda huo Pacome atakua kasharudi katika hali yake,na Aucho atakuwepo pia.
 
Hii ni knock out stage, kila mtu anacheza kwa tahadhari, mbinu na malengo ndo muhimu.
 
Nilitaka nikujibu nikaona changaule kawahi kuniwekea takwimu hebu shuka hapo chini πŸ‘‡

Ila udugu unajikaza basi tyuuu ila vyura wamekuchanganya vibaya leo 🀣🀣🀣
Anyway, huko kolokoloni mmepanga kumtimua nani kabla hamjaenda kupigwa goli zingine cairo?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
sasa wamesaidia nini ikiwa wenyewe tu hawawezi vuka robo
Hata shyle tumefundishwa na walimu wa divisheni 3 , tukatoka na kijiti. Na hatujawahi kejeli walimu wetu
 
Yanga imecheza pira lakikatili mno, masandawana nakuambia wanaenda kujiuliza mara saba saba kama watatoboa nusu maana ishaanza kuiingia mapichapicha. Yanga hajukaa na mpira sana lakini tumeongoza attemps on goals pamoja na shots on target kitu ambacho ndio muhimu kuliko kukaa na mpira, yaani mpira ungekuwa dakika 120 masandawana tungewavalisha dera leo...makolo hii yanga inaennda nusu fainali penda msipende
 
Haya matokeo watu hawatalala walijua kwakuwa wao wamefungwa na huyo kibonde basiiiiiiii na yanga hii ya moto itafungwa.... Mara ooooh Mamelod wanacheza kama ps nyenyeeeeeee mmeyabana mbupu zenu kama naniiiii πŸ˜‹πŸ˜…πŸ˜…. Jana na Leo na kesho mpk mwezi huu uishe ntanenepa maana ni mwezi wa mateso kwa Mwakarobo πŸ˜…
 
Benchi la ufundi la Yanga lilifanya kazi nzuri ya kumsoma mpinzani wake na kukubali kumwacha Mamelod acheze mpira yeye atafute matokeo tu. Bahati mbaya hatuna mastraika wa maana ila hii game Yanga alikuwa anaondoka na magoli mawili
 
Unawazungumzia yao, pacome na aucho, kwan hujui na wao wana wachezaji majeruhi? Akiwemo kapteni wao Zwane? Na hiyo siku atakuwepo pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…