FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Poleee tenaaa, sare sio ushindii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante 🤣😁😂😂 Bora Mimi nina nafasi mtani wangu
20240330_233747.jpg
 
Yanga amecheza vizuri sana pamoja na kuwakosa nyota watatu bado waliocheza wamefata maelekezo hatari
Gamond ameonesha ni kocha mzuri sana nashangaa wanaotaka zaidi ya kilichofanyika
Kutowaheshimu Mamelody kungetugharimu sana na hii mashabiki wa try again waliotaka sana kimoyo moyo kuwa Yanga nayo ifungwe ila ndio hivyo class imeamua Yanga inaenda final
Mmeanza visingizio kwani waliowaangiza kwenye hizo nafasi za kina Pacome ni wachezaji wa Lipuli au wa Yanga
 
Nilitaka nikujibu nikaona changaule kawahi kuniwekea takwimu hebu shuka hapo chini [emoji116]

Ila udugu unajikaza basi tyuuu ila vyura wamekuchanganya vibaya leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anyway, huko kolokoloni mmepanga kumtimua nani kabla hamjaenda kupigwa goli zingine cairo?? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hujawaza kwenda kuchakazwa Petrolia tena mchana wa jua kali, SAA 9. Woiiiiih

Wee huogopiiiii?
 
Kwenye hizi takwimu Yanga walichowazidi Mamelodi ni fouls na offside,wakienda South Africa watapigika na ball possession itakuwa 99 kwa 01
Angalia expect goal ni timu ipi ilikuwa na nafasi kubwa ya kupata goli?
Angalia shots on target ni timu ipi imepiga mashuti mengi?
Angalia idadi za save zilizofanywa na makipa
IMG_20240330_231455.jpg
 
Mmeanza visingizio kwani waliowaangiza kwenye hizo nafasi za kina Pacome ni wachezaji wa Lipuli au wa Yanga
Braza si uko na Jobe na Fredy huku vipi tena!?Yako si imeisha Jana na umeposes sana football.
 
Benchi la ufundi la Yanga lilifanya kazi nzuri ya kumsoma mpinzani wake na kukubali kumwacha Mamelod acheze mpira yeye atafute matokeo tu. Bahati mbaya hatuna mastraika wa maana ila hii game Yanga alikuwa anaondoka na magoli mawili
Hakuna kumsoma mpinzani,walishindwa kupata mpira,tofautisha kusoma na kukukosa mbinu za kuchukua mpira.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hujawaza kwenda kuchakazwa Petrolia tena mchana wa jua kali, SAA 9. Woiiiiih

Wee huogopiiiii?
🤣🤣🤣🤣 watuchakaze au tuwachakaze??
Na mkifungwa cairo mbaki huko huko muwe watumwa, mpk Musa (Young African) waje kuwakomboa pvmbavu zenu 😂😂😂
 
Benchi la ufundi la Yanga lilifanya kazi nzuri ya kumsoma mpinzani wake na kukubali kumwacha Mamelod acheze mpira yeye atafute matokeo tu. Bahati mbaya hatuna mastraika wa maana ila hii game Yanga alikuwa anaondoka na magoli mawili
Sijaelewa kwa nini Gamond kumwacha Mzize karibia dakika zote za mchezo. Msimu ujao Yanga watafute namba tisa wa kueleweka. Yanga inapaswa kubakia na mchezaji mmoja kati ya Gwede, Musonda na Mzize.
 
Back
Top Bottom