FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Mmeanza visingizio kwani waliowaangiza kwenye hizo nafasi za kina Pacome ni wachezaji wa Lipuli au wa Yanga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hujawaza kwenda kuchakazwa Petrolia tena mchana wa jua kali, SAA 9. Woiiiiih

Wee huogopiiiii?
 
Kwenye hizi takwimu Yanga walichowazidi Mamelodi ni fouls na offside,wakienda South Africa watapigika na ball possession itakuwa 99 kwa 01
Angalia expect goal ni timu ipi ilikuwa na nafasi kubwa ya kupata goli?
Angalia shots on target ni timu ipi imepiga mashuti mengi?
Angalia idadi za save zilizofanywa na makipa
 
Mmeanza visingizio kwani waliowaangiza kwenye hizo nafasi za kina Pacome ni wachezaji wa Lipuli au wa Yanga
Braza si uko na Jobe na Fredy huku vipi tena!?Yako si imeisha Jana na umeposes sana football.
 
Benchi la ufundi la Yanga lilifanya kazi nzuri ya kumsoma mpinzani wake na kukubali kumwacha Mamelod acheze mpira yeye atafute matokeo tu. Bahati mbaya hatuna mastraika wa maana ila hii game Yanga alikuwa anaondoka na magoli mawili
Hakuna kumsoma mpinzani,walishindwa kupata mpira,tofautisha kusoma na kukukosa mbinu za kuchukua mpira.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hujawaza kwenda kuchakazwa Petrolia tena mchana wa jua kali, SAA 9. Woiiiiih

Wee huogopiiiii?
🀣🀣🀣🀣 watuchakaze au tuwachakaze??
Na mkifungwa cairo mbaki huko huko muwe watumwa, mpk Musa (Young African) waje kuwakomboa pvmbavu zenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Benchi la ufundi la Yanga lilifanya kazi nzuri ya kumsoma mpinzani wake na kukubali kumwacha Mamelod acheze mpira yeye atafute matokeo tu. Bahati mbaya hatuna mastraika wa maana ila hii game Yanga alikuwa anaondoka na magoli mawili
Sijaelewa kwa nini Gamond kumwacha Mzize karibia dakika zote za mchezo. Msimu ujao Yanga watafute namba tisa wa kueleweka. Yanga inapaswa kubakia na mchezaji mmoja kati ya Gwede, Musonda na Mzize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…